Middle income haiwezilishwa na least developed country. Tunaendelea kuboresha sector yetu ya ukulima. Tazama video
joto la jiwe ulikuwa unalialia sana kuhusu Galana kulalu sasa tazama video.
1) Huu mradi ukikamilika utapunguza sana utegemezi wa Kenya kwa Tanzania kuhusu mahindiMiddle income haiwezilishwa na least developed country. Tunaendelea kuboresha sector yetu ya ukulima. Tazama video
joto la jiwe ulikuwa unalialia sana kuhusu Galana kulalu sasa tazama video.
Asante1) Huu mradi ukikamilika utapunguza sana utegemezi wa Kenya kwa Tanzania kuhusu mahindi
2)Kumbuka Kenya hutegemea Tanzania sio kwa mahindi pekee, bali pia kwa mchele by 80%, legumes by 52%, Matunda, Onions, Banana na vyakula vingine ambavyo havizalishwi ktk huu mradi.
Bado Kenya itaendelea kuitegemea Tanzania kwa chakula hata baada ya huu mradi kukamilika, ila kwa mahindi, mtapunguza utegemezi kama sio kumaliza kabisa.
Yuko na shamba kubwa Sana la Ngano huko Tz, hapigi simu kwa suluhu zetu Bali ni za kwake.Kubinywa siku moja tu Rais wako kapiga simu anaomba suluhu
Unatuletea bustani hapa
Si eti tunategemea Tz kwa chakula bali ni kuwa tutanunua kwa hela zetu hivyo basi ni sawa kusema kuwa Wa Tz wanategemea Kenya kwa Mapato.1) Huu mradi ukikamilika utapunguza sana utegemezi wa Kenya kwa Tanzania kuhusu mahindi
2)Kumbuka Kenya hutegemea Tanzania sio kwa mahindi pekee, bali pia kwa mchele by 80%, legumes by 52%, Matunda, Onions, Banana na vyakula vingine ambavyo havizalishwi ktk huu mradi.
Bado Kenya itaendelea kuitegemea Tanzania kwa chakula hata baada ya huu mradi kukamilika, ila kwa mahindi, mtapunguza utegemezi kama sio kumaliza kabisa.
Chakula kipo kwa wingi Mkuu. Hatuombi, tunanunua na hivyo ndivyo wakulima wenu wanatutegemea.Do you have enough food as we are comments on this thread?
Waswahili wana msemo wao kwamba "never insult the crocodile before crossing the river."
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania’s rice exports to Kenya, Rwanda to increaseThe only thing tunaezategemea ukitoka Tanzania ni uchawi.
Thanks for posting 2018 articles. This just shows how desperate you are to justify your point.Tanzania’s rice exports to Kenya, Rwanda to increase
Hahahaha, hahahaha, hahahaha.
Maximum 4×2000= Yani 8000 Kenya unahitaji mamillion ya taniTony254,
Acre 2000 ndiyo unakuja kupiga kelele humu. Mimi pekee yangu hapa tz nimelima ekari 150.
Kwa mahindi ekari moja kama ikilimwa kitaalamu sana unapata gunia 30-40. Gunia moja ni sawa na kilo 100
Kwa kila ekari utapata tani 3-4. Sasa hizo ekari 2000 hebu jicheke kwanza mwenyewe [emoji1787] [emoji1787]
Mwaka huu harvest ni kubwa Tanzania!Thanks for posting 2018 articles. This just shows how desperate you are to justify your point.
Why Kenya imports almost everything: eggs, onions, maize, beans... in a land of plenty - Smart FarmerThanks for posting 2018 articles. This just shows how desperate you are to justify your point.
Another 2017 article😂😂 . Please try harder .
Siku zote mwenye mali ndio ana nguvu ,hata ukisikia Iran kawekewa vikwazo vya silaha hapewi bure Ila amezuiwa kununua na pesa anazoYuko na shamba kubwa Sana la Ngano huko Tz...hapigi simu kwa suluhu zetu Bali ni za kwake.
Si eti tunategemea Tz kwa chakula bali ni kuwa tutanunua kwa hela zetu hivyo basi ni sawa kusema kuwa Wa Tz wanategemea Kenya kwa Mapato.
Another 2017 article[emoji23][emoji23] . Please try harder .