Sijaskia penye amesema kua Kenya inaimport 80% of rice from Tanzania. I'm happy to see you struggling in order to prove your baseless claims.Hii ya mwaka Jana, msikilize vizuri Prof.Boga, katibu wenu mkuu wa KILIMO anavyoeleza umuhimu wa Tanzania katika ukanda huu.
Kenya depends on Tanzania for food supply, without Tanzanian food life becomes impossible in Kenya, that is the situationSijaskia penye amesema kua Kenya inaimport 80% of rice from Tanzania. I'm happy to see you struggling in order to prove your baseless claims.
Hzo ekar 2000 si ushenz tu wakat Niko nalima ekar 400 pekee Bado raia wengne huko acha kufananisha Tanzania na nchi ya ajabu kama Kenya.Middle income haiwezilishwa na least developed country. Tunaendelea kuboresha sector yetu ya ukulima. Tazama video
joto la jiwe ulikuwa unalialia sana kuhusu Galana kulalu sasa tazama video.
Nendeni mkanunue mexico mahindi ya 1980 kama kweli mna pesaYuko na shamba kubwa Sana la Ngano huko Tz...hapigi simu kwa suluhu zetu Bali ni za kwake.
Si eti tunategemea Tz kwa chakula bali ni kuwa tutanunua kwa hela zetu hivyo basi ni sawa kusema kuwa Wa Tz wanategemea Kenya kwa Mapato.
Kwanini unapenda kushindana mkuu? Bila kulumbana na waTz nafsi yako haina amani.
Kuhusu kuwalisha hilo liko wazi, hakuna anayepinga ndio mana mpaka sasa mmeshindwa kuwazuia madereva wetu wasiingie nchini mwenu, ukuona moja ya kiongozi wenu alijipendekeza kwetu,eti sisi ni "ndugu zenu"
Yuko na shamba kubwa Sana la Ngano huko Tz...hapigi simu kwa suluhu zetu Bali ni za kwake.
Si eti tunategemea Tz kwa chakula bali ni kuwa tutanunua kwa hela zetu hivyo basi ni sawa kusema kuwa Wa Tz wanategemea Kenya kwa Mapato.
Tuna Ekari kubwa kubwa Kilimanjaro na Iringa za Ngano and nothing you can do about it 😉Tanzania hizo ekari 2k huwa zinamilikiwa na mtu mmoja tena wa kawaida tu, ninyi ni serikali nzima tena msaada wa Israel
Angalia shamba la serikali linaloendeshwa na wananchi pamoja na muwekezaji wakilima ekari zaidi ya 30k za mpunga kumbukeni mchele huko Kenya ni bei mara mbili ya mahindi.
Bado Kenya hamuwezi kutunishiana misuli na Tanzania linapokuja suala la kilimo, mpo nyuma sana na itawachukua muda sana kufika mahali Tanzania ipo
Ukiringa na chakula chako nanunua Cha mwingine na maisha yanaendelea sio kunitisha ati nakutugemea. Tusitishane Mkuu hata yesu alisema huwezi ishi kwa mkate tu...Nchi zote zina tegemeana chief !! Iv ukiwa na pesa bila chakula ndani how will survive ?
Mikopo ni ya hao wakubwa wa serikali Ila Sisi wanainchi wa kawaida tunanunua chakula kwa hela zetu. Sijapata kununua unga au mahindi yenye nembo ya Tz, so nashindwa kuelewa vipi nategemea Mtanzania kwa chakula changu.Nendeni mkanunue mexico mahindi ya 1980 kama kweli mna pesa
Mngekua.na pesa msingwkopa.world bank
Sasa mnaturingia chakula?Tanzania hizo ekari 2k huwa zinamilikiwa na mtu mmoja tena wa kawaida tu, ninyi ni serikali nzima tena msaada wa Israel
Angalia shamba la serikali linaloendeshwa na wananchi pamoja na muwekezaji wakilima ekari zaidi ya 30k za mpunga kumbukeni mchele huko Kenya ni bei mara mbili ya mahindi.
Bado Kenya hamuwezi kutunishiana misuli na Tanzania linapokuja suala la kilimo, mpo nyuma sana na itawachukua muda sana kufika mahali Tanzania ipo
Food is the most important basic need, next to waterSasa mnaturingia chakula? Nyie ni wazimu
Tunazidi kuwachagiza mje kwa wingi sababu ardhi bado ni kubwa na tunataka serious investors.Tuna Ekari kubwa kubwa Kilimanjaro na Iringa za Ngano and nothing you can do about it 😉
Ila kumbuka pia kuna wanunuaji wa Chakula wengine toka kanda zingine mfano sadec huku chini mataifa kama ya zambia , malawi and so on ss mfano tu wakazi wa esibania upande wa Kenya hauwez uka waambia wasubirie mazao tooaa ethiopia ili hali wapo karibu kabisa na Tz au watu wa lunga lungaUkiringa na chakula chako nanunua Cha mwingine na maisha yanaendelea sio kunitisha ati nakutugemea. Tusitishane Mkuu hata yesu alisema huwezi ishi kwa mkate tu...
Lakini wazungu wakiwekeza hivi Kenya na kuwapa raia ajira wanaitwa mabeperu hehe.Tunazidi kuwachagiza mje kwa wingi sababu ardhi bado ni kubwa na tunataka serious investors
Mkija mnatoa ajira, kodi, mnanunua malighafi Tanzania na kuineemesha Tanzania zaidi na ndio maana Tanzania Hakuna tatizo la ajira kama ilivyo kwenu.