NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 307
Nyie wadada mnaonyemelea waume za watu tunaomba kesho siku kuu muwaache wanaume wakae na familia zao na kusheherekea. Kesho muwe wavumilivu mtafute shughuli yoyoye tu ya kufanya. Acheni ku beep na vi message visivyo na maana.
Angalizo
acha watoke na nyumba ndogo ili na sie tupate nafasi ya kuwa na small house zetu pia. siku hizi kutoka ni kuliana timing,tena anajidai hata simu hapigi kumbe ndo na mie staki mawasiliano. werrraaa werraa! eid njema jamani,lol
Wanatutaka wenyewe
Mimi nina booking na watano tena wa humuhumu jf

nini?????????????????Mimi nina booking na watano tena wa humuhumu jf
na wewe uwe makini sanaNyie wadada mnaonyemelea waume za watu tunaomba kesho siku kuu muwaache wanaume wakae na familia zao na kusheherekea. Kesho muwe wavumilivu mtafute shughuli yoyoye tu ya kufanya. Acheni ku beep na vi message visivyo na maana.
Angalizo
na wewe uwe makini sana
1. shemeji yako asije akakutia madole
2. usije ukatoa tiGO[/QUOTE]
Kuna mtu kukuandikia au kaiba paswedi yako hapa
Lol... one of them!
Mimi nina booking na watano tena wa humuhumu jf
na wewe uwe makini sana
1. shemeji yako asije akakutia madole
2. usije ukatoa tiGO