Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Nyie wadada mnaonyemelea waume za watu tunaomba kesho siku kuu muwaache wanaume wakae na familia zao na kusheherekea. Kesho muwe wavumilivu mtafute shughuli yoyoye tu ya kufanya. Acheni ku beep na vi message visivyo na maana.
Angalizo
Hii booking bado iko wazi au ishafungwa??Mimi nina booking na watano tena wa humuhumu jf
Fanya uchunguzi wa kina utajua ni kwa nini nimeandika hayo yote mawilina wewe uwe makini sana
1. shemeji yako asije akakutia madole
2. usije ukatoa tiGO[/QUOTE]
Kuna mtu kukuandikia au kaiba paswedi yako hapa
hallo samahani sana huyo ni mke wa mtu we sema huwa hasemi.........Hii booking bado iko wazi au ishafungwa??

Wanatutaka wenyewe
hallo samahani sana huyo ni mke wa mtu we sema huwa hasemi.........

Nyumba Ndogo for Life

Nyumba Ndogo for Life
Nyumba Ndogo for Life
WHAT? .......lol........nacheka tu lakin kauli hii imekata utumbo wangu.

acha watoke na nyumba ndogo ili na sie tupate nafasi ya kuwa na small house zetu pia. siku hizi kutoka ni kuliana timing,tena anajidai hata simu hapigi kumbe ndo na mie staki mawasiliano. werrraaa werraa! eid njema jamani,lol

hahahahahaaaa......hakyanani King'asti unanifurahisha kweli! So baba anatoka, mama nae anatoka, na watoto je?

haaa! Ma mkwe wa kambo!!
Fanya uchunguzi wa kina utajua ni kwa nini nimeandika hayo yote mawili
Mkuu nakupata sana
Eid Njema mkuu
nampa 10 mins, tusije tukajipanga pamoja kwenye foleni,lol! aliye juu mfuatioe hukohuko. afu pipi za eid itakuaje sasa?

Kumbe ndo zako ee? Haya bana! Pipi nitagawa kesho msikitini ila kwa wale makobe tafadhali msije kuchukua!!
Na wake zetu watulize mizuka ili tutulie home maana mkitibua tu, ndio tunacheki line ya pili.
Nyumba ndogo zinajua kesho ni family day na kesho kutwa ni ya kwao.
Hiyo mbona huwa inaeleweka tu!?
naomba na mimi niwe wa sita nipigie 0784 10104395Mimi nina booking na watano tena wa humuhumu jf