<br />Nakwambiaje awamwachi mpaka ujue kinachomfanya atoke kwako hiyo ndio soln ya mwisho <br />
sikuukuu njema na kitimoto njema akikisha mmekipika kimeiva kabisa
Nashangaa; yani wanaume wanaongea kusema wamewawekea wake zao kufuli
Umeona ee eti tutafute vya kuwabakiza, kuna sikukuu nilihakikisha nimebana hadi penati, na dozi juu kumpa , alipopata upenyo kajifanya anapigapiga vimuayo vya uongo mara miruzi ya nyimbo za dini mara kachukua chupa eti anaenda mangi shop kwa miguu, loooooo alipokata kona tu kasimamisha bajaji huyooooo.....ama kweli kunguru huwezi mfuga kabisaacha watoke na nyumba ndogo ili na sie tupate nafasi ya kuwa na small house zetu pia. siku hizi kutoka ni kuliana timing,tena anajidai hata simu hapigi kumbe ndo na mie staki mawasiliano. werrraaa werraa! eid njema jamani,lol
Hivi hizi tunazo kweli???itabidi nitoke nae nje kwenye nguzo za kamba za kuaniki nguo.......si watu hawapo???/hahahahahahaaHahahh not Enough leo umenifurahisha lol haya na nyie wenye waume zenu mkumbuke kesho ni Eid si jumapili, mikhanga, mitenge marufuku, peleka watoto na dependents wote kula Eid kwa ndugu, have your quality time na Mr bidada lingeries na sexy calls kwa sana bana.... Pole dancing hahahah
Kama mchana haiwezekani ah. Usimbanie usiku ah! Kumbuka kumwandaa mchana kutwa!By the way zile romantic bulbs bado zipo aisee. I just wish
Nyie wadada mnaonyemelea waume za watu tunaomba kesho siku kuu muwaache wanaume wakae na familia zao na kusheherekea. Kesho muwe wavumilivu mtafute shughuli yoyoye tu ya kufanya. Acheni ku beep na vi message visivyo na maana.
Angalizo
Na wanawake walioolewa wajue wajibu wao kwa waume zao. Siyo kuishi wamefura kama simba ndani ya nyumba, halafu mwisho wa siku kulalamika tu.Wanaume walio-oa wajue wajibu wao kwa familia zao.
Aisee Nyumba Kubwa kumbe upoo!
Na wanawake walioolewa wajue wajibu wao kwa waume zao. Siyo kuishi wamefura kama simba ndani ya nyumba, halafu mwisho wa siku kulalamika tu.
hahahahahaaaa......hakyanani King'asti unanifurahisha kweli! So baba anatoka, mama nae anatoka, na watoto je?
Kumshusha ni kuwahi nyumba ndogokama mume mkeo kafura hujui jinsi ya kumshusha ww basi tena!