Nyie, Tunyweni bia

Nyie, Tunyweni bia

Namshukuru Mungu sinywi wala situmii kilevi chochote kibongobongo pombe sio ya kuendekeza sana na kiukweli ukiweza usinywe kabisa. Mwingine nyumbani kwao hata choo hakuna ila kiti. Kirefu humkosi...wenzetu Warussia haiwababaishi huku limtu linajifunzia ukubwani mshahara ukitoka unazungukwa na marafiki ukiisha wanapita hivi niliapa kwa majina ya Baba yangu sitakaa niguse kilevi chochote wacha nionekane mshamba...

Pombe inarudisha watu nyuma sana sina mda wa kujilaumu mbele ya safari...Mimi na kahawa yangu na soft drinks zangu eti ukienda mahala marafiki wananiambia this is too local nawa jibu acha huo ulocal unitokee puani ila pombe big no!...

Ukienda mahali wanakunywa pombe Kali chukua redbull yako on rock tumia whisky Glass changanya na Maji kidogo wale vifata mkumbo ili usionekane unaleta inzi mezani sina ulevi wa ngono maana nawajua mtasema Niko huko...hahaaaaa haaa
 
Namshukuru Mungu sinywi wala situmii kilevi chochote kibongobongo pombe sio ya kuendekeza sana na kiukweli ukiweza usinywe kabisa. Mwingine nyumbani kwao hata choo hakuna ila kiti. Kirefu humkosi...wenzetu Warussia haiwababaishi huku limtu linajifunzia ukubwani mshahara ukitoka unazungukwa na marafiki ukiisha wanapita hivi niliapa kwa majina ya Baba yangu sitakaa niguse kilevi chochote wacha nionekane mshamba...

Pombe inarudisha watu nyuma sana sina mda wa kujilaumu mbele ya safari...Mimi na kahawa yangu na soft drinks zangu eti ukienda mahala marafiki wananiambia this is too local nawa jibu acha huo ulocal unitokee puani ila pombe big no!...Ukienda mahali wanakunywa pombe Kali chukua redbull yako on rock tumia whisky Glass changanya na Maji kidogo wale vifata mkumbo ili usionekane unaleta inzi mezani sina ulevi wa ngono maana nawajua mtasema Niko huko...hahaaaaa haaa
Acha kiherehere . kwani huwa tunakuja kunya kwako?
 
Hapa duniani tupo safarini, umeona wapi mtu anajenga nyumba njiani au safarini? Tunywe beer, lakini kwa kiasi.
 
Namshukuru Mungu sinywi wala situmii kilevi chochote kibongobongo pombe sio ya kuendekeza sana na kiukweli ukiweza usinywe kabisa. Mwingine nyumbani kwao hata choo hakuna ila kiti. Kirefu humkosi...wenzetu Warussia haiwababaishi huku limtu linajifunzia ukubwani mshahara ukitoka unazungukwa na marafiki ukiisha wanapita hivi niliapa kwa majina ya Baba yangu sitakaa niguse kilevi chochote wacha nionekane mshamba...

Pombe inarudisha watu nyuma sana sina mda wa kujilaumu mbele ya safari...Mimi na kahawa yangu na soft drinks zangu eti ukienda mahala marafiki wananiambia this is too local nawa jibu acha huo ulocal unitokee puani ila pombe big no!...Ukienda mahali wanakunywa pombe Kali chukua redbull yako on rock tumia whisky Glass changanya na Maji kidogo wale vifata mkumbo ili usionekane unaleta inzi mezani sina ulevi wa ngono maana nawajua mtasema Niko huko...hahaaaaa haaa
Sasa hulewi ngono furaha yako nini
Kustarehe Kama hata mshedede unakataa
 
Na asilimia kubwa wasokunywa ndo masikini wa kutupwa. Kunywa pombe upate akili. Sasa mtu akipata 3000 leo na hana uhakika wa kuipata kesho ndo itajenga choo.

Ya bia ni ya bia,na ya pombe ni ya pombe.

Wewe huna tofauti na muuza cd za kwaya anakukuta unakula chakula cha 5000 yeye cd ni buku jero then ukimuambia huna hela anakuuliza"cd na chakula bora nini?".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom