Tulipata taarifa kuwa mlitimuliwa chuoni mlipojaribu kudai haki zenu ambazo ni za muhimu kwa msomi yeyote,ila mlikuwa hamjafanya mitihani,vip mtafanya lini? Au ndo maswala ya kuunganisha semsta?
Nimeongeana mmoja wao anasema washarudi wako busy dunia nzima pepa limewatait utadhani hawajawahi kuingia darasani au mitihani imetunwa na Kina Plato na Aristotle!
<br />
<br />
dah! Pole sana na mitihani!vp na maraisi wa Social na natural sc. Wamekuja kupiga pepa!? Kila la kheri jamani haki ya mtu haipotei!nadhan na field mtaenda au bado wanabana?