Nyie vijana graduates jobless hua mnashinikiza serikali iwape ajira?

Nyie vijana graduates jobless hua mnashinikiza serikali iwape ajira?

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Hua najitolea kusemea vijana jobless Tanzania ukiingia ajira portal ukaona namba ya ajira zinazotangazwa utashangaa

Nasikitika kuona mamilion ya graduates jobless wapo wamejazana UVCCM wanashangalia tu.

Vijana mnatakiwa muwe na hasira hapo Kenya tumeona waziri wao anaenda hadi Asia kutafutia vijana kazi.

Ikiwezekana wizara itoke hadharani iweke statistics za vijana walioajiriwa ndani ya miaka 5 muone madudu
 
Walivo na akili mbovu wanashinikizaa umri wa kustafu uwe miaka 45 ili wao wapate ajira
 
Unachoshindwa kuelewa hata hio UVCCM ni Ajira.., Look around politicians wote wanatafuta Kura ili waende Kula sio wapinzani wala CCM

Pili kama ujanja ni kutafutia watu ajira huko ughaibuni na tunashindwa wenyewe kama taifa au Bara (Afrika kwa ujumla) kutumia nguvu kazi iliyopo, basi tusingewafukuza wakoloni (sababu pamoja na utumwa watu walipata angalau chumvi...

In short Afrika hatuchekani ingawa sababu sio resources au lack of bali uroho wa viongozi kutokufanya kazi kwa ajili ya wananchi...

 
Tumebaki tunabet na kushangilia mipira,wanasiasa wanadanganyadanganya wanatoa ajira chache ukilinganganisha na namba ya wahitimu,ilhali mikopo inazidi kukua,walaji wa keki ya taifa ni wachache.
Inatia hasira sana,basi tu.
 

Attachments

  • 20241223_182024.jpg
    20241223_182024.jpg
    419.8 KB · Views: 4
Toka nje tuilalamikie serikali kuweka mazingira mepesi ya kujiajiri, sio kulilia serikali kutuajiri

Serikali haiwez tuajiri wote, hata iwaje
 
Back
Top Bottom