Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
hatuwez kufika kwa style hii eti nchi nzima yenye karibu square meter 1m population ya watu milion 60. mwaka mzima wanaajiriwa watu 12,000.Vijana ni kushabikia Mpira Tu, hawana kazi nyingine! CCM itatawala milele kwa mtindo huu