comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
D to K, ninapokua home wananiita Dingi kwenye Kaya.
katika JF nzima, jukwaa hili ndilo mmejaa watoto kibao, mnajadili madudu tuu, njooni kule JAMII INTELIGENCE tuumize vichwa, sio mnaleta mambo za kifesibuku hapa
kwanza hili jukwaa libadilishwe jina liitwe JUKWAA LA WATOTO
au LIFUTWE KABISA, au Liitwe Form Three C
anngh! mnakera sana nadhani wote hapa mmeishia form two ndio maana mnaandika upupu daily.
wanazuoni tumekaa tunaumiza vichwa nyie mnapayuka tuu
hatakama jukwaa linaruhusu punguzeni utoto asee