Elections 2010 Nyie viongozi hebu onyesheni kujali basi mnaowaongoza

NN,

Kikwete anampango wa kuwapatia watoto hao wote kompyuta ili wasome kwa amani na utulivu
 
Bad news to Nyani Ngabu
Kwenye mikutano ya kampeni, JK na CCM yake wanajaza watu si kawaida. Nilikuwa Morogoro jumamosi. Kulikuwa na mkutano hapo jamhuri stadium. Nyomi kwa sana tu. Mtajiju!
 
Bad news to Nyani Ngabu
Kwenye mikutano ya kampeni, JK na CCM yake wanajaza watu si kawaida. Nilikuwa Morogoro jumamosi. Kulikuwa na mkutano hapo jamhuri stadium. Nyomi kwa sana tu. Mtajiju!

Basi hitimisho langu mijitu ni mijinga na mijuha kupita kawaida.
 
Kwenye mikutano ya kampeni, JK na CCM yake wanajaza watu si kawaida. Nilikuwa Morogoro jumamosi. Kulikuwa na mkutano hapo jamhuri stadium. Nyomi kwa sana tu. Mtajiju!
Labda tujiulize tatizo ni nini kwetu sisi watanzania, watu tu/wameridhika na hii yali ya maisha, au ni ule mtaji wa Viongozi wetu "Ujinga" kwamba watu hawaelewi/hawaoni uhusiano wa huduma mbovu za jamii na Viongozi wanao-wachagua kupitia sanduku la kura.
 
Naamini ziko nyigi mno na zina pishana kwa Viwango mlionazo tafadhalini ziwekeni hapa mjadala upate Kucha. Hawa hawana ukuta wala sakafu, Kwa kifupi hii picha inaandika kitabu kinachoeleza wapi Mtanzania anatoka, wapi yupo na Wapi anakoelekea!! Kwa kweli Ishara si Nzuri, ni Hatari hata kutabiri nini kitatokea ndani ya miaka michache ijayo. Tuendelee kujadili.
 
Loh!!! haya bana
 
Bad news to Nyani Ngabu
Kwenye mikutano ya kampeni, JK na CCM yake wanajaza watu si kawaida. Nilikuwa Morogoro jumamosi. Kulikuwa na mkutano hapo jamhuri stadium. Nyomi kwa sana tu. Mtajiju!

The Invincible, watu wanakwenda kuangalia show za kina Marlaw na wenzake. Si unajua tena mikutano ya JK ni kama fiesta ndogo vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…