Nyie waandishi, hivi VODACOM ni SIMBA na YANGA TU?

Nyie waandishi, hivi VODACOM ni SIMBA na YANGA TU?

Kenge (Eng)

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2006
Posts
543
Reaction score
160
Inasikitisha kuona badala ya kuandika na kuzitangaza timu changa zinazofanya vizuri katika Premier Vodacom.
Mfano jana KAGERA SUGAR ilicheza na VILLA SQUARD lakini vyombo vya habari havikuipa mechi hiyo uzito wowote badala yake muda mwingi ilikuwa ni mahojiano ya wapambe wa the so called big 4. Kumbuka KAGERA SUGAR inaongoza ligi ikiwa imecheza mechi 4, imeshinda mechi zote, imeshafunga goli 7 na haijafungwa hata goli moja.

Imezifunga Polisi Moro, Mtibwa, Toto na Villa Squard.

Hivi ni kweli hapo kuwa usawa wowote?

Naomba uwiano wa habari uwepo, habari sio kuuza tu!!!!
 
Back
Top Bottom