Alinipenda mimi so wazazi wangu aliwaona hata kabla ya ndoa akaridhika ht kama wapi aridhike then after be back ndo anieleze
Yesss! Sorry, naomba nikuulize japo kiduchu tu, umeolewa/una mchumba?Nakubaliana na wewe kabisaaa kuwa uvumilivu una kipimo..ila kuwanunia hao wazazi sio solution,hajaridhika na mwenendo wowote hapo kwa wakwe then si anaongea pembeni na mwenza wake....sio heshima hata kidogo kununa nuna tena ugenini,hainfanyi hata mwanaume kuwa comfortable.
Wa ndoa rasmi
Kwenu ni wapi? Isije ikawa mnaongea kilugha all the time naye akawa mpweke? Ulitakiwa kufanya stay yenu iwe exciting as a host; kama uko busy na ndugu zako na yeye unamuignore unategemea nini? Sio wote wanaoweza kujichananya kwenye strange places!
Mpeleke shambani/porini mkatafute berries halafu ummpe cha porini; she will love that! LOL
Wife nilikutananae kikazi origin ni mnyalu
lakini kweli wanawake wengine wanaboa, kwani hapo kafungwa mdomo hata hawezi kukwambia kilichomsibu? kununa si amnunie mumewe ndani, ndo anune hadi mama mkwe aone? hiyo sio vyema , hata wifi au marafiki hawatakiwi kujuwa kama umemuwekea box mzee. msamehe bure, kisha na wewe kijijini si wiki tu inatosha bana,
sasa unaona umetuwacha wa Tz wenzio ukaenda kwa Kagame si ndo yamekukuta hayo. kama vipi tafuta nyumba ndogo atajirekebisha.:lol:
Yesss! Sorry, naomba nikuulize japo kiduchu tu, umeolewa/una mchumba?
Mmmh...sijachumbiwa wala kuolewa bado....ni nini kwani??:A S embarassed:
Wife nilikutananae kikazi origin ni mnyalu
uko tayari kuwa na mimi..
njoo kwangu please
hamna shidaa tena ww Mama atakutandikia zulia jekundu....uko tayari kuwa na mimi...heart ili twende pm tusiendelee kuchakachua huu uzi.Terms and conditions applied nikikukubali unipeleke kwenu kwanza sio usubiri tuanze maisha baada ya miaka kadhaa ndo unipelekee...
hamna shidaa tena ww Mama atakutandikia zulia jekundu....uko tayari kuwa na mimi...heart ili twende pm tusiendelee kuchakachua huu uzi.