Queen Kyusa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 663
- 162
wewe wa ukweli kweli huu ndo ushauri wa maana ,uone baada ya hapo km hatakuambia tatizo hata bila kumuuliza then ndo utajaji kutokana na majibu aliyokupa umuache au ufanye nn.Kwenu ni wapi? Isije ikawa mnaongea kilugha all the time naye akawa mpweke? Ulitakiwa kufanya stay yenu iwe exciting as a host; kama uko busy na ndugu zako na yeye unamuignore unategemea nini? Sio wote wanaoweza kujichananya kwenye strange places!
Mpeleke shambani/porini mkatafute berries halafu ummpe cha porini; she will love that! LOL
Preta,umesahau mapenzi ya mujini mujini? Mnakutana maisha club hao malavidavi kesho kanisani/msikitini,sasa kama sisi wa kilimatinde saa ngapi mtakwenda kabla ya harusi? Si unajua sa ingine hata wazazi wanashindwa kuhudhuria harusi?sasa ulimuoaje kama hakuwahi kufika kwenu........?
Hivi kuvunja ndoa imekua rahisi kiasi hiki?Binafsi,sijaona kosa la kupelekea kufikiri achilia mbali kuivunja ndoa.Huyo mkeo kweli ni mjinga,hatumii busara,hata kama kuna jambo limemkera namna gani namna anavyofikisha ujumbe wa kukereka haifai.Hebu kuwa MWANAUME bana.MWANAUME hakubali hisia zimpoteze kama ulipofikia,otherwise utakua hauna tofauti na mkeo na utakua unatuaibisha WANAUME ebo!!
lakini mwambie abadili tabia hao ndio wazazi wako, awapende kama keli anakupenda, je anawachukia leo je endapo utakufa leo atawaheshimu, unajua ndio maana wakati mwingine mwanaume akifa wananyangánywa mali halafu wanaanza kulia, kupiga kelele na kudai kuna mfumo dume , kumbe wanayakoroga wenyewe
Nimeenda home na mke wangu kwa mapumziko ya sikukuu, toka tuanze maisha hajawai kufika kwetu, tatizo tumekaa wiki moja tu amekasilika hataki hili wala lile hadi maza ananiuliza kulikoni? Nikimuuliza tatizo hataki kusema, sasa wadau hili limekaeje nikiamua kumpiga chini itakuwa kosa maana aibu aliyonipa siwezi hata kusema.