heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Hata kama sio shabiki wa diamond ila
kuna kitu lazima uwe kinakuvutia
kutoka kwake.Unaweza kujitahidi
kumchukia labda kutokana na skendo
zake za nje ya muziki wake ila ukirudi
kwenye muziki wake nadhani
anastahili kuwa pale alipo.
Kuanzia muonekane wake mpaka
anavyoweza kuji-brand kimataifa na
anavyojua kucheza na akili za
mashabiki.
Wasanii wengi wa bongo flava wana
tabia ya kurithika kwa mafanikio yao
ila Diamond toka atoke na
Kamwambie mwaka 2009 mpaka 2013
amezidi kwenda juu bila kuonyesha
kusuasua wala kutetereka.
Angalia video ya number 1.Wimbo
unaweza sema ni wa kawaida kabisa
ukilinganisha na mbagala,
kamwambie au nitarejea ila akili ya
kwenda kufanya video cape
town,south africa kumeifanya nyimbo
iwe number 1 kama jina lake lilivyo.
Ushawahi kujiuliza Ali kiba yupo wapi
pamoja na kuwa kila mtu anajua ni
mkali kuliko diamond?Ali kiba toka
atoe my everything mwisho wa
mwaka jana amepotea hata video
ajatoa.Tukaja kumuona kwenye kidela
na Abdu kiba bila kurefusha maneno
Ali anashindwa kuufanya mziki wake
kama mashabiki wake wanavyotarajia
labda pengine angekuwa anafukuzana
na diamond ila matokeo yake vijana
wake kama Rich mavoko na Dimpoz
ndio wapo nyuma ya Diamond huku
Ali akibaki msanii mkali ambae
ameshindwa kuendelea kutuonyesha
ukali wake sijui anawaza nini!
Ushawahi kujiuliza kama ule wimbo
wa airtel hands across the world
waliopiga wakina r.kelly,fall ipupa,2
face kama nafac ile angeipata
diamond leo angekuwa wapi?
Diamond leo anatuletea remix ya
number 1 f.t Davido kila mtu
anaisubiri kwa hamu ila Ali alishindwa
hata kutuletea remix ya Dushelele f.t
Fally ipupa pamoja kukaa nae wiki
nzima wakifanya wimbo pamoja.
Diamond ni mjanja anaejua biasha.Diamond kaweza
kuubadilia mziki wetu kwa kiasi chake
leo ndio msanii anaelipwa pesa nyingi
kwa show.
mwisho wa siku ndip yale yale..oooh..ninarogwa.
kuna kitu lazima uwe kinakuvutia
kutoka kwake.Unaweza kujitahidi
kumchukia labda kutokana na skendo
zake za nje ya muziki wake ila ukirudi
kwenye muziki wake nadhani
anastahili kuwa pale alipo.
Kuanzia muonekane wake mpaka
anavyoweza kuji-brand kimataifa na
anavyojua kucheza na akili za
mashabiki.
Wasanii wengi wa bongo flava wana
tabia ya kurithika kwa mafanikio yao
ila Diamond toka atoke na
Kamwambie mwaka 2009 mpaka 2013
amezidi kwenda juu bila kuonyesha
kusuasua wala kutetereka.
Angalia video ya number 1.Wimbo
unaweza sema ni wa kawaida kabisa
ukilinganisha na mbagala,
kamwambie au nitarejea ila akili ya
kwenda kufanya video cape
town,south africa kumeifanya nyimbo
iwe number 1 kama jina lake lilivyo.
Ushawahi kujiuliza Ali kiba yupo wapi
pamoja na kuwa kila mtu anajua ni
mkali kuliko diamond?Ali kiba toka
atoe my everything mwisho wa
mwaka jana amepotea hata video
ajatoa.Tukaja kumuona kwenye kidela
na Abdu kiba bila kurefusha maneno
Ali anashindwa kuufanya mziki wake
kama mashabiki wake wanavyotarajia
labda pengine angekuwa anafukuzana
na diamond ila matokeo yake vijana
wake kama Rich mavoko na Dimpoz
ndio wapo nyuma ya Diamond huku
Ali akibaki msanii mkali ambae
ameshindwa kuendelea kutuonyesha
ukali wake sijui anawaza nini!
Ushawahi kujiuliza kama ule wimbo
wa airtel hands across the world
waliopiga wakina r.kelly,fall ipupa,2
face kama nafac ile angeipata
diamond leo angekuwa wapi?
Diamond leo anatuletea remix ya
number 1 f.t Davido kila mtu
anaisubiri kwa hamu ila Ali alishindwa
hata kutuletea remix ya Dushelele f.t
Fally ipupa pamoja kukaa nae wiki
nzima wakifanya wimbo pamoja.
Diamond ni mjanja anaejua biasha.Diamond kaweza
kuubadilia mziki wetu kwa kiasi chake
leo ndio msanii anaelipwa pesa nyingi
kwa show.
mwisho wa siku ndip yale yale..oooh..ninarogwa.