white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
kweli mkuu?uchukue lita moja ya maziwa uiweke kwenye maji lita mia bado colour haitapotea???
bora umempa somo mkuuWe jamaa fala sana aisee daah[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila yeye hakukusudia hivyo.
Mkuu hii tekniki ulipoipata kama sio uliitumia mahali..SijuiiWw unasema maji?,wapo hao wameru wanakuwekea blue band kitu njano,wakat anakupimia ukiona yalivyo mazito unasema maziwa si ndio haya ss
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa?Mkuu mbona profile yako ya huyo mtu alovaaa bluu naiona kwangu vipi tena?