Megawatt B
JF-Expert Member
- Aug 23, 2011
- 259
- 69
Hakika bunge hili maalum ni la waunguja na wapemba. Sisi watanganyika ndo tunaongoza Tanzania ndani ya serikali mbili, Kule umoja wa mataifa haikuna bendera ya ZANZIBAR hivyo basi serikali yenu ya mapinduzi ni geresha tu. Making'ang'ania serikali mbili sisi tunaendelea kupeta tu kimataifa na kitaifa.