Nyie YouTubers wa tanzania ni kweli mnatengeneza hela kupitia mtandao huo au ni uwongo?

Nyie YouTubers wa tanzania ni kweli mnatengeneza hela kupitia mtandao huo au ni uwongo?

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Kuna vichannel vingi hasa vya kusimulia movie, huwa najiuliza ni kweli wanatengeneza pesa kupitia YouTube?

Na chanel nyingi ni za Kiswahili!

Mwenye yuko na chanel aniambie.
 
Mwijaku anaingiza milioni 3 kwa siku kupitia instagram🙂
 
Mwijaku anaingiza milioni 3 kwa siku kupitia instagram🙂
Hizo ni za matangazo y wafanya bishra ns makampun y bongo wanaomlipa awatangazie biashar zao. Ila instagram wenyw ndo wameanzisha subriction hivi karibun
 
Hizo ni za matangazo y wafanya bishra ns makampun y bongo wanaomlipa awatangazie biashar zao. Ila instagram wenyw ndo wameanzisha subriction hivi karibun
screenshot_20241130-125642_instagram-jpg.3165723
Kwa hiyo diamond analipwa 1,100. Kwa mwezi.

Buku na mia kwa mwezi
 
Back
Top Bottom