Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Hizo ni za matangazo y wafanya bishra ns makampun y bongo wanaomlipa awatangazie biashar zao. Ila instagram wenyw ndo wameanzisha subriction hivi karibunMwijaku anaingiza milioni 3 kwa siku kupitia instagram🙂
Ameulizia Youtube.Mwijaku anaingiza milioni 3 kwa siku kupitia instagram🙂
Pata ithibati kamili kwa kujaribukuna vichanel vingi hasa vya kusimulia movie!
Najiuliza ni kweli wanatengeneza pesa kupitia youtube?
Na chanel nyingi ni za kiswahili
Mwenye yuko na chanel aniambie
Kwa hiyo diamond analipwa 1,100. Kwa mwezi.Hizo ni za matangazo y wafanya bishra ns makampun y bongo wanaomlipa awatangazie biashar zao. Ila instagram wenyw ndo wameanzisha subriction hivi karibun
Soma taratibu, utaeleweka kilicho andikwa mkuuKwa hiyo diamond analipwa 1,100. Kwa mwezi.
Buku na mia kwa mwezi
Sio kulipwa. Ukita kuona content zake exclusivive hicho ndo kias cha kulipia . N kama king'amuz kinavyofany kazKwa hiyo diamond analipwa 1,100. Kwa mwezi.
Buku na mia kwa mwezi