Chaguo zako zote kali, umenikuna! ma r&b ya ukweli!1. RALPH TRESVANT - SENSITIVITY
2. NEW EDITION - CAN YOU STAND THE RAIN
3. SHAI - IF I EVER FALL IN LOVE
4. TEVIN CAMPBELL - ALONE
5. TEENA MARIE FT GERALD LEVERT - A ROSE BY ANY OTHER NAME
6. COLOR ME BADD- SEX YOU UP
7. MICHAEL JACKSON - LADY IN MY LIFE
8. AL B SURE FT QUINCY JONES - SECRET GARDEN, THE (Sweet Seduction Suite)
9. JODECI - CRY FOR YOU
10. AALIYAH FT R. KELLY - LET ME KNOW
Mkuu wewe naona hawa New Edition wanakukuna sana. Nakumbuka kushika Album yao moya nikiwa mdogo sana ya wimbo wa Candy girl. Hii itakuwa ni moja ya nyimbo zao za kwanza kabisa wakiwa chini ya Silas Jr kama Producer. Wimbo wao ninaouzimia zaidi ni a little bit of love na siwezi kuficha kuwa Cool it now, mhhh....
Badala ya Shai, mie nakupa Silk - Freak me.
Jodeci nakuacha vilevile ila nakupa wimbo wa FENNIN' featuring Marehemu Roger Troutman na Talk Box yake.
Color me Badd, hapo sina cha kuongeza wala cha kupunguza...... Chaguo safi sana.
Vipi kuhusu hiki kibao? YouTube - H-town Knockin the boots
Chaguo zako zote kali, umenikuna! ma r&b ya ukweli!

Mkuu, wimbo wa Bach hata kabla sijausikiliza, title ni JESU, Joy of man`s Desiring. Mie mpenzi wa ule uliopigwa kwa Piano. Kuna film moja ya Dr wa Ki-Geruman huko Congo wakati wa vita ya Kwanza kama sikosei ya dunia....... RTD kuna kipindi cha Mwamini Mungu kama sikosei walikuwa wakipiga hii version: YouTube - Jesu, Joy of Man's Desiring Bach / Hess, Wedding Music Joel Hastings, piano
Juu wa Zucherro, mie mpenzi wa huu uliondikwa na Verdi: YouTube - Zucchero - Va Pensiero
Hapa chini ni Original Version ya Giuseppe Verdi ikienda kwa jina la NABUCCO: YouTube - Va pensiero ('Nabucco', G. Verdi)
Ila nafikiri katika Classic Music, baba yao ni Wolfgang Amadeus Mozart.
Twende kazi bosi. 1000 bora zako ni:
1.This world is not my home.- Jim Reeves
2.
3.
.
.
.
1000.
1. RALPH TRESVANT - SENSITIVITY
2. NEW EDITION - CAN YOU STAND THE RAIN
3. SHAI - IF I EVER FALL IN LOVE
4. TEVIN CAMPBELL - ALONE
5. TEENA MARIE FT GERALD LEVERT - A ROSE BY ANY OTHER NAME
6. COLOR ME BADD- SEX YOU UP
7. MICHAEL JACKSON - LADY IN MY LIFE
8. AL B SURE FT QUINCY JONES - SECRET GARDEN, THE (Sweet Seduction Suite)
9. JODECI - CRY FOR YOU
10. AALIYAH FT R. KELLY - LET ME KNOW
unanichoma mzee
hahah lol
I just love 90's music
1 Nasema Sina Ndugu----Maquis du Zaire
2 Who the Cap fit-----Bob Marley
3 Wee Mesenja---Bima Lee
4 The Best of Me---Kenny Rogers
5 Wananiita SUGU--2Proud a.k.a MHESHIMIWA
6 Chiquitita---ABBA
7 Crazy---Julio Iglesias
8 Cool down the pace--Gregory Isaack
9 Bongo Dar Es Salaam---Joseph Haule
10 Dancing Qeen--ABBA
2. Bata!