Nyimbo anazozitoa snura zinanipa mashaka juu yake..

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,641
Hello,

Ali-hit na nyimbo ya chura, sahiv kaja na nyimbo inaitwa nionyeshe unavochumaga mchicha, zote zinahusu kucheza kwa kutingisha makalio.

KINACHONIPA MASHAKA:
Huenda akawa ni mdau wa kuliwa 0713, maana ukisikiliza nyimbo zake inaonekana she's obsessed with makalio, hivi wanaume wa dar na uqaum luti wao wote hawajamla ndogo kweli...sijui lakin

I was just thinking loudly
 
Mkuu weww pata radha hayo mengine muachie yeye.Afu anasuta huyo usiombe kukutana nae.Muulize Ben Po
 
U think loud, unganisha na sabuti to thinker in a high pitch
 
umesahau nyngine inaitwa Shundu akil za wabongo weng zipo nyuma

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Alafu bila aibu nimemsikia eti anawasihi BASATA walegeze masharti...kana kwamba yeye bila ule ujinga hana chochote kingine anachoweza kujiajiri nacho.

Na kuna wakati nilimsikia akisema hatopenda Watoto wake hata wasogelee sanaa anayoifanya, sasa nikajiuliza yeye anawafanyia hayo Watoto wa kina nani?

Sijui ni nani aliyemwambia kuwa Wasanii wote wenye mafanikio dunia hii wanaimba/fanya madudu anayofanya yeye.
 
umesahau nyngine inaitwa Shundu akil za wabongo weng zipo nyuma

Post sent using JamiiForums mobile app

Hahahaaha, wadada wengi cku hiz wakipiga picha lazma waoneshe makalio yao, sasa cjui wanatafta wa kuyafumua kabunda88
 
Kama hupendi usiangalie ila Mwenzenu kaiona fursa makalioni nyie endeleeni kupiga kelele!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Halafu utamsikia akisema huu mziki lazima utoboe kimataifa
 
"Vipi kuhusu wadogo zetu nao wanafaidi anasa,itadhuru zaidi ya kansa"


Call me keyon/karamazov!!!!!
 
Hio ni mambo ya dar .. bongo.. tanzania nzimaaa wanapenda mambo ya wamarekani kunusanusa nyuma.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ha ha haaaaa

Nimecheka napita

Ndio hivyo kamacwansoimba zaxmapenzi na kusema ni waliyopitia... ehhhhh

Ila mimi siongelei namba uliyoweka hapo.
 
Kama hupendi usiangalie ila Mwenzenu kaiona fursa makalioni nyie endeleeni kupiga kelele!

Post sent using JamiiForums mobile app

Hahaaa mm nazipenda songs zake, ila 2 huo ulikuwa mtazamo wangu LadyAJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…