Nyimbo bora kabisa za maombolezo kwa wakati wote

yutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
1,668
Reaction score
1,017
1.Tunakukumbuka - king crazy GK
2.I'll be missing you - bad boy entainment f. Faith Evans (mase)
3.swahiba- Jebby f. Afande sele
4.life goes on - Tupac
5. I miss you aaliay - missy elioty (Dmx)
6.got it yourself - Nas
7. I wish -R.kelly (boo and got)
8.The world is ..... Jimmy Reeves
9....,...
10.......


Hizo ndo zangu nawe waweza ongezea zako zinazokugusa kwa mtima (moyo).
 
yaani umekosea kabisa au umepitiwa tuseme,
Umemsahau Dr.Remmy Ongala?
1.Kifo hakina huruma
2.niseme nini,sina la kusemaaa
3.na nyingine nyingi za huyu Dr Remmy ni nomaa huyu jamaaa acha tu apumzike kwa milele....
 
yaani umekosea kabisa au umepitiwa tuseme,
Umemsahau Dr.Remmy Ongala?
1.Kifo hakina huruma
2.niseme nini,sina la kusemaaa
3.na nyingine nyingi za huyu Dr Remmy ni nomaa huyu jamaaa acha tu apumzike kwa milele....

mi nime-base kwenye fravour za hip hope na R&B, hivo hizo za bolingo (dance) zako wewe na wala sizipingi na ndio maana sijaweka limit
 
1. Tufani inapovuma
2. liko lango moja wazi
3.nchi nzuri yametameta
4.nimepita ulimwengu
5.ni salama rohoni mwangu
ila huo namba moja naupenda sana, kila nikienda jumuiya lazima niuanzishe kama m/kiti.

nimekupata mkuu kijana LEO na msumali wa mwisho ni kwa ambasador christ wa Rwanda na kitu chao Hivi kwanini? Kama sijakosea
 
Last edited by a moderator:
Kwa Bongofleva;

1. Kamanda-Daz Nundaz
2. Tutakukumbuka-Crazy Gk ft TID
3. Kazi yake mola-Madee ft Mandojo n Domokaya

sure kende nimezikubali
 
Last edited by a moderator:
Coolio - I'll C U When U Get There
Elton John - Candle In The Wind
James Blunt - Good Bye My Lover
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…