Nyimbo bora kwa kipindi cha muongo mmoja Tanzania

Msigwa Victor

Member
Joined
Sep 24, 2019
Posts
5
Reaction score
9
1. Harmonize -Atarudi
2. Harmonize -Sina
3. Harmonize - Mpaka kesho
4. Ibraah - Mapenzi
5. Rayvanny - Naogopa
6. Alikiba - Utu
7. Jux - Utaniua
8. Harmonize - Niambie
9. Harmonize - Never Give Up
10. Aniseti Butati - Usinikumbushe

Kabla hujakosoa nikuombe kazisikilize halafu njo unipe hongera ya kukuwekea playlist Bora kuwahi tolea kwako. Acha Mambo ya U team, Enjoy Good Music.
 
Kama 'Dodo' ya alikiba haipo basi hiyo list ni fake.

Lakini umemaanisha muongo mmoja ujao au uliopita?!!
 
Huyu Konde boy unayemshabikia amefikisha hiyo miaka 10 kwenye game akiwa yupo kwenye ubora?

Au umeamuwa kuja kujambajamba hapa baada ya kuvimbiwa makande?
 
Team Harmonizie?
 
Huyu Konde boy unayemshabikia amefikisha hiyo miaka 10 kwenye game akiwa yupo kwenye ubora?

Au umeamuwa kuja kujambajamba hapa baada ya kuvimbiwa makande?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee, kuna ujumbe mahsusi unataka kuufikisha, ngoja waje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…