Yani ile ngoma ni kale kuliko maelezo... manecky anajua sana kutengeneza beat za nyimbo zenye hisia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu MNA visaWimbo wa Diamond ulionikamata sana ni AJE
True....Ukimwona is the best
Good. Huu wimbo naupenda sanaNitarejea... one of my fav song
My favourite song ever by diamondMungu aliumba dunia, mapenzi tangu na tangu
Yashanipiga sasa sina budi nielewe
Siwezi kung'ang'ania huenda sio fungu langu
Japo ni shida ila nitabaki mwenyewe
Ooh Ila mpe shukrani, kwa kuniumiza suraya
Mwambie me bado mahututi nauguza kidonda changu
Na asisikie asilani mwambie mapenzi mabaya
Hata angali hai Kairuki asingetibu gonjwa langu. ....
Same hereMy favourite song ever by diamond
walimu au waalimu?Humu ndani kukiwa na waalimu mambo yatakaa sawa
My favourite song ever by diamond
Sitaki nikubishie kuwa sijawahi kutendwa lkn pia ctaki nikuaminishe kuwa mtu akipenda nyimbo za design hyo eti ni matokeo yakutendwaMmmmmh! We ulitendwa wewe!!