Sawa MkuuJoel lwaga-mimi ni wajuu
Ile ya Taylor swift akiwashirikisha msondo ngoma it's a damn cold night.Habari zenu wanajf?
Naomba leo tushee nyimbo zetu pendwa tunazozisikiliza kwenye playlists zetu when we feel giving up. (Kukata tamaa)
Binafsi, "Lengend" by Chronixx ndo nyimbo ambayo napenda kusikiliza sana. Kwa sababu;
- Content , instruments na melody hunifanya nijione mtu mwingine kabisa. Na inahamasisha nijione wa thamani kabla jamaii haijatambua mchango wangu.