Nyimbo gani ya kilugha ikipigwa (hasa kwenye harusi) watu wanaserebuka vya kutosha?

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,100
Mfano wajita wana nyimbo mbili zikipigwa kwenye maharusi utaona magauni marefu na suti zinaserebuka hatari
wa kwanza unaitwa NDOLELA
Mwingine sijui jina lake ila una kibwagizo "Mwana wao Chagega" maana yake mwanao ndio tumebeba hivyo

Hebu kumbuka za kule kwenu tushee hapa......
 
Nyimbo ni nyingi sana.....kila mtu na zake.....
in total....125....kwa makabila ya TZ.....
 
Nyimbo ni nyingi sana.....kila mtu na zake.....
in total....125....kwa makabila ya TZ.....
Mi nataka ya kwenu nyie hizo nyingine wazisema wenyewe mama
 
1.Lubhejo/akunda-wapare
2.Tumnogele-wanyakyusa
3.Dereva au Akanana-wahaya
4.Ndolela-wajita
5.Ni mdodo-wasambaa
 
1.Lubhejo/akunda-wapare
2.Tumnogele-wanyakyusa
3.Dereva au Akanana-wahaya
4.Ndolela-wajita
5.Ni mdodo-wasambaa

Halafu unajua staili ya kuzicheza nyingi lazima mabega yacheze sana na kugonga mguu mmoja chini huku mkiwa mmetengeneza duara kama mnacheza kachiri
 
mwaiiii wetu ereeeeeeeeeeee iyo tuendaaaa tumvoneeeeee,akundaaaaaaaaaaaaaaaaa akundaraaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii akundaaaaaaaaaaaaaaaaaaa akundaraaaaaaaaaaaaaaa
 
vana vakundana...eeeh shigheni vaghuhane...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…