Nyimbo gani ya kilugha ikipigwa (hasa kwenye harusi) watu wanaserebuka vya kutosha?

h we umeambukizwa tabia za zamani za kongosho
 
jamani mwenye ule wimbo wa otereeee wa kichagga... aweke humu. nimejaribu kuutafuta kila mahali sijaupata. kesho ntaweka ule wa kipare hapa...

mwai wetu ohioee tumvenda tumvoneee...

akundaaa eehhh akundaaaaa...

vana vakundana shigheni vakuhanee...

mbwanyeniii....harikaaaa.....

ukipigwa huu najisikia kama niko pale kijijini suji kwetu thithi thithi ndio baba thao na mama thao.
 
Kubyala ng'wana nkema gwilolela banhu gaganda gaganda × 2

Mdumonagu nina wa ng'wana...
Alibina wisunda sunda....
******
Ng'wantwalu ng'wanawise ng'wantwala tali...
Ng'wantwalu ng'wanawise ng'wantala somile...

Kora si ==> Ginalisole lichagicho...cha!
Gubina ligachajaga... cha!
Gwimba ligachajaga...cha!
Guzuga ligachajaga...cha!
......
 
mkuu hii ni lugha gani??ikibidi weka hii nyimbo hapa tufaidi
 
mkuu hii ni lugha gani??ikibidi weka hii nyimbo hapa tufaidi
Hiki ni Kisukuma mkuu. Tatizo sijui jinsi ya kuweka audio hapa lakini nyimbo hizi ninazo. Nikiweza nitaziweka. Wabeja (Asante)
 
Hiki ni Kisukuma mkuu. Tatizo sijui jinsi ya kuweka audio hapa lakini nyimbo hizi ninazo. Nikiweza nitaziweka. Wabeja (Asante)
mkuu ni rahisi sana kuweka audio. unafanya kama kuattach tu mkuu.. jitahidi ufsnye hivyo tufaidi hizi nyimbo
 
kuna wanyakyusa asee wana iyo tumogheleee,...na nyngne ujo tukupeleee.
 
Ni huo huo wimbo ulioleta msamiati wa "kuselebuka" unaitwa Tuselebuke wa kingoni.
 
Kuna ile nyimbo ya watu wa KIGOMA_MANYEMAs da, ya ukwel sana aiseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…