Nyimbo hii/Wimbo huu

furahi

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
945
Reaction score
196
Nadhani kwa sasa haya maneno yamekuwa gonjwa la kitaifa. Ninachefuka sana pale mtangazaji wa redio/tv mwenye digrii ya mass communication anaposema Nyimbo hii imeimbwa na...
Ninavyofahamu Nyimbo ni wingi wa Wimbo.
Nyimbo 2, Wimbo 1. Tujirekebishe jamani. Lugha za kigeni zenyewe hatuzijui, bado na lugha yetu tunaivunjavunja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…