Nyimbo pekee ambayo unaweza ifananisha na seduce me hii hapa

jimmymziray

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
816
Reaction score
515
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, nyimbo pekee nionavyo mimi ambayo kidogooo inaweza pambanishwa na seduce me ya ALLY KIBA ni nyimbo ya msanii huyohuyo inayoitwa AJE

kwanini nasema hivyo?

Kwasababu hapa hautagawa mashabiki, kwa vyovyote vile ukilinganisha nyimbo ya ally kiba na msanii mwingine hata kama ya ally kiba ikawa ni nzuri zaidi ya yahuyo msanii bado mashabiki wa huyo msanii watasema yao ndio nzuri,

Vivyo hivyo ikitokea nyimbo mbaya ni ya ally kiba basi mashabiki wa ally kiba hawatakubali kuwa ni mbaya, lahasha, watasema ni nzuri kuliko ya huyo msanii mwingine


Kwahyo hizi mada za kulinganisha nyimbo hazitoi majibu sahihi maana kuna ushabiki na utimu haijalishi nyimbo ni nzuri au mbaya

Pia kusema nyimbo hii ni nzuri haimaanishi wote watakubali, hapa pia utimu utakuja na still timu ya muhusika itasifia hata kama nyimbo ni mbaya na timu pinzani watakandia hata kama nyimbo ni nzuri


Cha muhimu ni kupambanisha nyimbo za msanii mmoja hasa kwa kuangalia nyimbo iliyopita na ya sasa ili tujue kuwa kapiga hatua, kabaki palepale au karudi nyuma.

Nawasilisha
 
Nyimbo~Wingi
Wimbo~Umoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…