habari wadau.
Now nimeelewa why kuna watu ni hard worker hawatoboi, ila kuna wengine hawatumii nguvu ila wanafanikiwa sana.
nyimbo ya hamisa mobetto mpya kiukweli hata haivutii kusikiliza.. ila huko youtube haishikiki toka imetoka juzi ni number 1 on trending tanzania nzima..
siku 3 tu ina views zaidi ya laki sita, ruby katoa nyimbo na video kali ya ntade 2 weeks zilizopita.. ila mpaka leo ina views laki nne tu, maua sama iokote ilimchukua siku 5 kufika views laki sita..
ali kiba katoa nyimbo na vijana wake.. ila imebuma huku mpuuzi hamisa anaongoza views tu..
wasanii wote wakali kina barnaba na wengineo jifunzeni fitna za instagram.. la sivyo mtabaki maskini huku wapuuzi kina hamisaa watatajirika kwa mziki huo huo mbaya mbaya tu