Jamani kuna nyimbo mpya ya wale offside trick ya kule zenji ambayo nimeiona kwenye tv jana imeniacha hoi
Iile nyimbo mbona imekaaa kimatusi sana
Anasema wanamvyomla jicho na wanamvyombirua birua
Kuna sehemu samaki huchanganywa changanywa kwa mchuzi nyanya na biringani
Kkwa kweli ile nyimbo haijakaa vyema kimaadili au wadau mnasemaje?
Mzee wimbo uko poooa.Its you and your dirty mind.Lipi tusi hapo?Au ndio umekula ngisi?
Mzee wimbo uko poooa.Its you and your dirty mind.Lipi tusi hapo?Au ndio umekula ngisi?
Umesoma vizuri au wewe ndio umekula ngisi? Dirty mind??
You talkin' to me or Mtu wa pwani?
He he he tuliza boli Nzokanhyilu.Ni hivi:
1.Namwambia Mtu wa Pwani.
2.Nimetumia hiyo clip uliyoweka ili naye auone tena na tena na kujiridhisha kuwa wimbo hauna mawaa.
Umekula ngisi Nzoka.