Nyimbo Za Kizalendo Za Kenya Na Tanzania

Nyimbo Za Kizalendo Za Kenya Na Tanzania

Tazama Ramani utaona nchi nzuri. Nchi hio huitwa Tanzania....

By Moses Nnauye
 
Tunaimani na Nerere, oya oyaa oyaa
Nyerere kweli.. kwelii kweli kweli Nyerere....

By National Service
 
Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania

By South Africans +Julius Nyerere
 
Rufftone & The G.S.U. Choir- Mungu Baba. Nilipenda sana ombi hili la kizalendo kutoka kwa choir hii ya kitengo cha Kenya Police, G.S.U. na mwimbaji maarufu wa gospel, Rufftone, baada ya machafuko ya uchaguzi wa '07/08. Uzalendo, dini, polisi na msanii wa kufoka na bado waliua! Mungu awabariki sana hawa jamaa.
 
Huu hapa huwa lazima niucheze kila ninapofungasha kwa safari ya kurudi Kenya kwa ndugu na familia.....

 
Huu hapa huwa lazima niucheze kila ninapofungasha kwa safari ya kurudi Kenya kwa ndugu na familia.....

mkuuu katika siku ulizonifurahisha n leo baada ya kukesho kwa kusom usiku na mchana kwa masomo ya phyisics na mathematics (pcm) inapofika wiki moja kabla ya kwenda likizo wezangu walikuwa wanaweka sana hii nyimbo na nimeitafuta kwa kipindi kilefu bila mafanikio Asante sana mkuu ilikuwa kutoka kigoma kwenda dar
 
Tanzania yetu ndio nchi ya kusifika kote ulimwenguni watu wote watambua

Naye baba Nyerere ndie wetu muhifadhi nae ndie alieleta Uhuru, Tanzania 🇹🇿 yetu ndio nchi ya furaha.
 
Duh! Wakenya mmeibukia huku. Kenya ni nchi ya wazungu nyimbo zote ni za kizungu zinasadifu lugha za kizungu.
 
Back
Top Bottom