Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Moja ya mashindano bora zaidi kuwahi kufanyika 201o
Chama Arusha kinaozesha akili wewe,huyo hakupiga wakati akitunga wala wakati wa kuimba.Nyimbo za kombe la dunia waka waka itabaki kuwa the best generation to generation kwani ndio wimbo pekee wa kombe la dunia ambao haujawai chuja
Mtunzi alipiga cha Arusha wakati anatunga
La mwaka uhu halina mvuto kabisa kina kim kim wameongilia kati mchezoNakumbuka goli alilofunga Siphiwe Tshabalala
Angekuwa tz ningempa chodaChama Arusha kinaozesha akili wewe,huyo hakupiga wakati akitunga wala wakati wa kuimba.
Limepoa sanaLa mwaka uhu halina mvuto kabisa kina kim kim wameongilia kati mchezo