Nyimbo za maana zilizotoka hivi karibuni

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
Jux - utaniua (manekee kaua sana sana maana nyimbo za namna hii yeye ndo mchawi wake)
Bright - Ni wewe (huyu dogo nilikuwa na mu under estimate ila kwa hii ngoma kwakweli nimekubari ni mkali sana sana sana ngoma kali sana)
Zaiid - wowow (hii ngoma ina ubunifu mkali japo alichokiimba !!!!)
Chidbees- kababayee (hii ngoma tamu sana beat ya lufa kaua sana na zile violins)
 
Zaiid ni kichaa, nitazitafuta.
 
Nimemsikia kuna nyimbo zake za awali, ana styleyake fulani hivi iko kivyake vyake.

Kazibuka.

Ndiyommaana nikasema dogo kichaa.
Sure mkuu jamaa anajua sana aisee ngoma zake zina ubunifu wa kivyake vyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…