Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hit maker wa ngoma inayosumbua kwa sasa "Hodari" Maromboso a.k.a Mbosso Khan Mshedede ukipenda muite Kirungi sababu kubwa iliyomvutia Mondi ni ule uwezo wa Mbosso kutunga mistari yenye matusi ndani yake lakini kwa lugha ya uficho wa hali ya juu.
Mbosso ilibidi aenguliwe zamani sana tangu enzi zile yupo Yamoto band ,na kuna nyimbo kadhaa za Lava Lava ameandikiwa na Mbosso kisha akamezeshwa mistari.
Nyota ya Mbosso inazidi kung'aa kila kukicha na kama itapita miaka miwili bila kuangusha ghorofa ,Mbosso atakuwa amefeli sana ,labda atake tu mwenyewe ila kwa sasa nyota ya pesa inazidi kumuwakia kila kukicha.