Nyimbo za matusi ndizo zilizosababisha Mbosso Khan aitwe WCB

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Hit maker wa ngoma inayosumbua kwa sasa "Hodari" Maromboso a.k.a Mbosso Khan Mshedede ukipenda muite Kirungi sababu kubwa iliyomvutia Mondi ni ule uwezo wa Mbosso kutunga mistari yenye matusi ndani yake lakini kwa lugha ya uficho wa hali ya juu.

Mbosso ilibidi aenguliwe zamani sana tangu enzi zile yupo Yamoto band ,na kuna nyimbo kadhaa za Lava Lava ameandikiwa na Mbosso kisha akamezeshwa mistari.

Nyota ya Mbosso inazidi kung'aa kila kukicha na kama itapita miaka miwili bila kuangusha ghorofa ,Mbosso atakuwa amefeli sana ,labda atake tu mwenyewe ila kwa sasa nyota ya pesa inazidi kumuwakia kila kukicha.


 
Huyo dgo Subili mistari ktka ngoma ya Rj the Dj
 
Matusi ni nini?
 
Mi nazichukia hizo nyimbo zake kwa minaajili hiyo.... matusi kila nyimbo..
 
Wacha maneno. Binasfi sio mpenzi mkubwa wa Muziki wake lakini naheshimu anachokifanya. Mziki mzuri unasikilizwa, watu wanapiga pesa wewe unaendelea kujunguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…