Nyimbo za Mboso zimenifanya nikaharibu funga yangu

Bora ya kusikiliza kwaya kuliko hizi nyimbo za bongo fleva

Ukiwa unasikiliza nyimbo amabzo ziko positive unajiwekea positive energy juu yako. Kweli kabisa nyimbo nyingi za bongo fleva huwezi zisikiliza ukiwa na watu wa maana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…