kwakweli wasanii wetu inabidi waige mifano ya wenzetu hawaelewi tu maana ya kuletwa kwa msanii mgeni ni kwamba wajifunze vitu kutoka kwao yani ujio wao uwe kama inspiration kwao,
wao wakienda nje utaskia tumefanya shoo bab kubwa kumbe ni ndani ya kisebule tun cha mbongo aishie huko