Nyimbo za Tanzania zilipendwa zaidi Kenya 2016

kumbe ally anawatisha sana watu wa mond maana kila siku mnajaribu kufanyanae comparison king kiba anawanyima watu usingizi

Mkuu hata shuleni "VICHWA" tulikuwa tunawazomea "VILAZA" wa mwisho wakati wa kutajwa matokeo ili wajitahidi kusoma na sio kwamba wanatunyima usingizi vichwa..
 
Hakuna song iliobamba kenya km aje mwaka huuu nyie viaz
 
Zinaongea hesabu sio HISIA, eti "anapendwa sana Kenya"
 
am out that gang mimi nimuumini wa muziki mzuri sio muzik wamain stream!
 
kawaida tu sio habari inayoweza kukustua hasa wakati huu ambao swala la kununua viewers likiwa alijapatiwa jibu lake maridhawa zaidi ya kutukana baba zao na kusema wanapumuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…