Nyimbo za tenzi za rohoni za english

Nyimbo za tenzi za rohoni za english

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,092
Reaction score
2,210
habari za majukumu wadau. naombeni yeyote ambaye ana wimbo wa tenzi za rohoni ulioimbwa kwa english anisaidie. iwe video, audio au jina la wimbo na jina la aliyeimba. natanguliza shukrani
 
habari za majukumu wadau. naombeni yeyote ambaye ana wimbo wa tenzi za rohoni ulioimbwa kwa english anisaidie. iwe video, audio au jina la wimbo na jina la aliyeimba. natanguliza shukrani
Redeemed umeimbwa na vocal gaither choir nenda tu YouTube kasearch redeemed by vocal gaither choir.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msingi Imara, Enyi wakweli
Umekwishapigwa kwa Neno Hili
Aongeze lipi? Mnayo pia.
Kwa Yesu Mliomkimbilia.

Nenda YouTube
 
How great thou art- loyisso bala ft don moen
 
Back
Top Bottom