Nyimbo kuwa na numbers kubwa kwenye majukwaa ya kidigitali means imepewa green light na wasikilizaji yaani imepita (listeners choice).
Kama ilivyo kuwa mtiti kumiliki pesa bilioni moja basi kupata attention ya watu billion wenye asili, hisia na wadhifa tofauti Kila Kona ya ulimwengu hayo ni mafanikio wakuu.