mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
jamani leo nimekaa na dogo mmoja apa home anasoma hizi sent nanihii with usafiri hadi mlangoni..mara ghafla inanijia picha enzi izo nasoma vidudu hadi primary kulee kijijin kwetu....aah nimecheka sana!!
kwanza kulikua na vinyimbo flani hivi common sana kuimbwa achilia mbali ngoma za kutamaduni na mambo kama hayo...mtaniwia radhi sent nanihii...
ujue kwanza ile asubuhi ilikua lazima ubebe kuni na maji hawatajali umevaa ndala wala raio..uache daftari kwenu uje na kigazet they dont care..kali zaidi kipindi cha mavuno mnabeba mazo mnapeleka shule...wee mwalim nanihii wewe ndo maana huzeeki!!
nirudi kwenye nyimbo sasa:
wa kwanza:'kijani kibichii chaa mplilipiiili shule yetu ina raha mama weee iliyo kando yaa barabara..kando ya elimu yapita bila shiidaa...'sijui inaendeleaje apo
mwingine ule wa kuagwa saa 6 hahaa.......'saa imefiika ya kweenda nyumbaniii..mama amepika waali na nyamaa na nini sijui,..'baada ya hapo ni mbio hadi kwenu..hahaaaaaa maisha yale najua bado yapo lakini very interesting!!!
tukumbushane baadhi ya nyimbo zingine..........wale wa st nanihii samahanini kwa leo!!mnajua Musa Neema and Baraka kwanza>??
hahaaaaaa wkend njemaaaa