Nyimbo zimeenda wapi kwenye mabasi ya kukodishwa(Special Car Hire)?

Nyimbo zimeenda wapi kwenye mabasi ya kukodishwa(Special Car Hire)?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Wasalaam

Kabla magari ya KUKODISHA maarufu kama Costa hayajarasimishwa nilikuwa nashuhudia ABIRIA WENGI WAKIIMBA NYIMBO ZA MAOMBOLEZO

Naukiza swali, zile nyimbo zimepitwa na wakati? Maana siku hizi ni KIMYA KIMYA

1707007809840.png
 
Embu andika tena hapa uelekeweke
Labda alikua anamaanisha zamani kidogo wakati wa kusafirisha misiba wakati wote wa safari nyimbo za maombolezo zilikuwa zikiimbwa ma waombolezaji, asa hawaimbi tena wanakuwa kimya kimya toka mwanzo wa safari mpaka mwisho wake, na hii imetokea baada ya uwepo wa gari maalumu za safari zilizosajiliwa.
 
Wasalaam

Kabla magari ya KUKODISHA maarufu kama Costa hayajarasimishwa nilikua nashuhudia ABIRIA WENGI WAKIIMBA NYIMBO ZA MAOMBOLEZO

Naukiza swali, zile nyimbo zimepitwa na wakati? maana siku hizi ni KIMYA KIMYA

View attachment 2893570


Yamepewa leseni na yanafanya kazi kwa utaratibu, sio holela kama zamani, na yanaitwa special hire, sio public transport.
 
Back
Top Bottom