Labda alikua anamaanisha zamani kidogo wakati wa kusafirisha misiba wakati wote wa safari nyimbo za maombolezo zilikuwa zikiimbwa ma waombolezaji, asa hawaimbi tena wanakuwa kimya kimya toka mwanzo wa safari mpaka mwisho wake, na hii imetokea baada ya uwepo wa gari maalumu za safari zilizosajiliwa.