Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Shukria...kumbe umebadili koti, ila nimeujua mwandiko wako..Mie naona unafaa kwenye mambo ya Psychology..mziki unaweza though..lol
Shukria...kumbe umebadili koti, ila nimeujua mwandiko wako..
Pamoja mkuuSawasawa Dr chelu
NotedOld fashioned style .. unaimba as if tupo 2008!
Nimekupata mkuu, ila mimi sifanyi mziki kibiashara..nafanya kwa sababu tu napenda mziki.JIPANGE GAME YA MZIKI SIO MCHEZO
OKAY OKAY KUMBENimekupata mkuu, ila mimi sifanyi mziki kibiashara..nafanya kwa sababu tu napenda mziki.