Nyingine tena, namba moja, mbili wote Wakenya...ni mwendo wa kunyakua

Mie nashangaa kwanini kwa mfano wakimbiaji wetu wasiende kujifunza kwa wenzao wa Kenya na hata kufanya mazoezi nao ili kujua siri kubwa ya mafanikio yao?
Sijui wanariadha wenu wanaona wakija mazoezi Kenya watapigwa mnanda kama mlivowafanya wale ng'ombe wetu?
 
Mie nashangaa kwanini kwa mfano wakimbiaji wetu wasiende kujifunza kwa wenzao wa Kenya na hata kufanya mazoezi nao ili kujua siri kubwa ya mafanikio yao?
Wapo ambao huwa wanaenda,
 
Kuwa specific, sema Riaadha, huo ndio mchezo pekee Wakalenjini wanaiwakilisha Kenya, ila huku kwingine yaleyale tu
 
Kwenye michezo hakunaga haja ya blah blah. Riadha, raga 7s, raga 15s tupo voliboli wanawake na wanaume pia, cricket, omera I better stop there. Juzi mkenya ameshinda paris Marathon leo ni Commonwealth kesho kutwa London Marathon. Wakenya hoyeee!
 
Hizo michezo zote ni insignificant!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…