Kutoka Mirembe
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 294
- 87
Yote sawa...Hapo itategemea nilipi limekuvutia..
Msaada wadau!
Lipi ni neno sahihi katika Kiswahili Fasaha?
Ninyi au Nyinyi?
nyinyi kw (wingi) you.Msaada wadau!
Lipi ni neno sahihi katika Kiswahili Fasaha?
Ninyi au Nyinyi?
nyinyi kw (wingi) you.
nyie ku (kifupisho cha nyinyi) you all.
Sahihi ni Nyinyi ... kwa hisani ya KAMUSI ya TUKI.
Kutoka Mirembe
TUKI wamevuruga kiswahili sana, neno sahihi hasa ni ninyi, ila kwa kuwa ni rukhsa (kwa mujibu wa TUKI itakuwa ruhusa) kwa lugha kunyambuka kwa sasa yote ni sahihi. Kama ninyi haimo kwenye TUKI basi watakuwa wamechemsha sana.nyinyi kw (wingi) you.
nyie ku (kifupisho cha nyinyi) you all.
Sahihi ni Nyinyi ... kwa hisani ya KAMUSI ya TUKI.
Kutoka Mirembe
Inategemea na kile unachokisema. Kuna tofoauti kati ya ninyi na nyinyi, sote sawa pengineyo.
Ninyi hutumiwa ukiwahadharisha badhaa ya watu ikiwa wale watu wakihadarishwa kwa ubadhaa umoja. Nyinyi hutumiwa ukiwahadharisha wale watu wakiwa kwa ubadhaa.
Sijui kama nimeleweka lakini tofauti kuwapo.
Kwa mfano,
Tofauti ya sentensi zifuatayo ni yipi?
"Nyinyi! Mnafanya?"
na
"Ninyi! Mnafanya?"
Tofauti ni vile ukijibiwa, mwenye akakujibu atakujibu akiongea kwa ye mwenyewe, au kwa ubadhaa wote akuwepo.
Umeifahamu tofauti sasa?
Kwa kizungu...one addresses the group as a whole, and the other addresses individuals within that group individually.
Maoni zangu tu!