Inamonga JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 779 Reaction score 474 Jul 12, 2020 #1 Habari ndugu. Naulizia zile nyloni ambazo hutumika kwenye mabwawa ya samaki. Zinapatikana wapi na bei yake ikoje? Mimi niko Dar
Habari ndugu. Naulizia zile nyloni ambazo hutumika kwenye mabwawa ya samaki. Zinapatikana wapi na bei yake ikoje? Mimi niko Dar
C Cute shy JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 1,189 Reaction score 1,292 Jul 12, 2020 #2 Kaulize kwenye maduka ya pembejeo na ndani ya soko kubwa kkoo wanapouza mifuko ya prastick.