Nyoka aina ya Black Mamba mawindoni

Eti yule mjinga wa South Afrika mwenye kupindi cha kukamata nyoka anawadanganya watu anamshika black mamba kwa mikono tu kule kwenye channel ya Nat Geo Wild
Kwanini unaamini kuwa anadanganya?, kile kipindi huwa unaangalia na kukisikiliza vizuri mkuu?.
 
Uwa nacheki channel moja ya dstv naona kuna wataalamu wa kukamata nyoka mfano majumbani
Mostly wanawakamata black mamba na kuwarudisha mahali wanakotakiwa kukaa
 
Eti yule mjinga wa South Afrika mwenye kupindi cha kukamata nyoka anawadanganya watu anamshika black mamba kwa mikono tu kule kwenye channel ya Nat Geo Wild
Ndio na mimi huwa nawacheki wanamkamata kilaini
 
Eti yule mjinga wa South Afrika mwenye kupindi cha kukamata nyoka anawadanganya watu anamshika black mamba kwa mikono tu kule kwenye channel ya Nat Geo Wild
Snake in the city..angalia vizuri akiwa anamkamata black mamba huwa anamshika kwa makini na gloves na hutumia mushikio spesho hamshiki black mamba na bare hands..
It is the real show..!!

Kingine naweza kukubaliana na yule member aliesema yule nyoka wa kweny ile clip sio black mamba coz black mamba sijawah muona anatembea kasimamisha kichwa
 
Mkuu acha kutumia AI
 
Anapenda sana kushinda kwenye mashamba ya bangi,jioni akiwa anarudi kwake toka huko anakua kupagawa,na njia yake ni ile ile,ole wako akukute.
Anapenda sana bangi, sijui kwanini polisi hawamshiki.
 
Nyoka hasikii, hiyo ilitokea tu mkuu.
 
Ningali mdogo hawa Koboko walikuwa wanatusumbua sana kijijini lakini tulikuwa tunawaua kwa mawe tu.

Brazili kuna nyoka hatari zaidi ya koboko ila wao wenyewe wanazungumza mpira na samba tu; hawana taimu na nyoka hao.
Kijiji kikiwa na Koboko huwa kijiji kinahama. Halafu uje utwambie mlikua mnawaua kwa mawe?
Kwanza wakishaona hatari huwa wanaanzisha msaka kwa kugawa himaya kwa kila mmoja kujimilikisha eneo la kutosha kwa ajili ya kulilinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…