Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Nyoka ndio mmliki mkubwa wa madini na tiba duniani.watu wengi watajiuliza kwa nini ni mmliki wa madini na tiba.
BIBLIA
Yesu alisema hivi: “Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye. [Yoh3:14], Marko 16:17-18 na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Nyoka ametajwa kwenye sehemu nyingi za maandiko sehemu nyingi mfano:
Wengi wetu tumekuwa tukitafsiriwa nyoka vibaya ila elimu ya jicho la tatu lina eleza ukweli kuhusu nyoka na umiliki wa madini na tiba.
Sehemu ambapo kuna madini au mimea ya tiba uwepo wa nyoka ni mkubwa sababu wao ndio wanajua yapo wapi. Nyoka anafahamu madini na tiba
Nimejaribu kueleza kidogo maana sio muelezaji mzuri wa kuandika

KWANINI BWANA YESU ALISEMA "TUWE NA BUSARA KAMA NYOKA?" (Mathayo 10:16)